BILIONEA LAIZER INABIDI AMSHUKURU SANA RAIS HASA JUU YA HILI


Rais John Magufuli leo June 29, 2020 amemzungumzia Bilionea mpya Laizer “Tulipojenga ukuta Mirerani wapo waliotubeza, pia tumeshuhudia mmasai Laizer akipata jiwe kubwa na kuwa bilionea, najiuliza huu ukuta ungejengwa tangu mwaka 1961 ingekuwaje? Najiuliza bila ukuta, hilo jiwe kubwa tungeambiwa limepatikana? pengine hata Laizer angeuawa”.

Comments

Popular posts from this blog

Mkataba Wa Wawa Simba Wazua Jambo

Simba Yatuma Salamu Yanga

winga wa AS VITA huyooo Jangwani