CHADEMA YATOA WITO KWA POLISI


Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika leo akiongea na Waandishi wa Habari amenukuliwa akisema “Natoa wito wa wazi kwa IGP na Jeshi la Polisi kuacha kujihusisha na matukio ya kisiasa yenye muelekeo wa kufanya propaganda hasi za kukibeba Chama kimoja kuelekea uchaguzi Mkuu, lijikite kwenye wajibu wake kuhakikisha ulinzi na usalama”.

Comments

Popular posts from this blog

Mkataba Wa Wawa Simba Wazua Jambo

Simba Yatuma Salamu Yanga

winga wa AS VITA huyooo Jangwani